Staa wa muvi Bongo, Ester Kiama ameibuka na kusema kuwa wakati mastaa wenzake wakihangaika na kampeni za siasa yeye anauza mkaa wake kwani amegundua kuwa wamemtenga kwa sababu hawajawahi kumshirikisha kwenye lolote.
Akizungumza na Ijumaa, Ester alisema kuwa awali alikuwa akiumia kuona ametengwa lakini alipokaa na kufikiria kwa makini aliona ni bora alivyoachwa ili aifanye kazi yake ya kuuza mkaa kwa ufasaha.
“Nilikuwa naumia na kusema nimetengwa lakini wamenisaidia kwa upande mwingine, huu ndiyo wakati wa biashara kwani mvua inakuja mpaka kampeni zinaisha nitakuwa nimeingiza fedha nyingi kuliko waliojikita kwenye siasa
0 comments:
Post a Comment