+10 344 123 64 77

Saturday, September 5, 2015

MICHEZONI!!!!!!! Top 10 ya thamani ya tweet za wanamichezo, C.Ronaldo kaongoza HAYA… BOFYA HAPA

Umeshawahi kujiuliza kwa nini mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo hutumia account yake ya twitter kuitangaza kampuni ya nguo ya kwao Ureno, Unajua ni kwa nini Wayne Rooney hutangaza viatu vyaNike katika account yake ya twitter?
labron-james-cleveland-cavaliers-2014-billboard-650
LeBron James
Kwa mujibu wa mtandao wa dailymail.com utafiti unaonyesha likes wanazopata Ronaldo,Rooney na Neymar kwa tweet moja wanayo tweet katika account zao, hulipwa fedha nyingi na kampuni zinazo wadhamini. Hivyo nakusogezea top 10 ya thamani ya tweet moja kwa mastaa hao.
nemar-412x300
Neymar
Ripoti kutoka katika gazeti la Kihispania AS na kampuni ya mawakala wa matangazo yaOpendorse imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo mwenye followers milioni 37.7 katika mtandao wa twitter. Post moja ya tangazo la biashara akipost katika account yake ina thamani ya pound 169280 ambayo ni zaidi ya milioni 500 za Kitanzania.
Ronaldo anashika nafasi ya 13 kwa watu wenye followers wengi katika account ya twitter ni namba mmoja kwa wanamichezo wote.

0 comments:

Post a Comment