Kufuatia tetesi kuenea mtandaoni kuwa staa wa Bongo Moveis , Vicent Kigosi ‘Ray ‘ amehama UKAWA “team mabadiliko” na kwenda upande wa CCM., Ray amepanga kuvunja ukimya na kutoa tamko lake rasmi juu ya swala hilo.
Kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa kijamii wa instagram Ray ambaye amekuwa akishambuliwa na baadhi mashakibi wake kwenye mtandao huo wakidai kuwa amenunuliwa , aliandika haya;
“Nimeyasikia mengi sana kwenye mitandao ya kijamii ila nasema hivi nitatoa tamko langu soon”.
Nadhani sasa mashabiki wapunguze munkali wasubiri tamko lake.
0 comments:
Post a Comment