Wakati headlines za Uchaguzi sasa zikuchukua nafasi kuanzia kwenye Magazeti, TV, Radio na sehemu nyingine za kutolea habari sio mbaya ukifahamu pia kuhusiana na Rais ambaye anatajwa kuwa na umri mdogo zaidi Duniani.
Rais huyo aliingia madaraka mwezi mei, 2015 akiwa ameshinda kwa zaidi ya 52% ya kura zote zilizopigwa, Duda alitimiza umri wa miaka 43 mwezi mei tarehe 16 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment