NI BONGE LA TAFRANI! Timbwili la aina yake liliibuka hivi karibuni Kiwalani Mivinjeni jijini Dar es Salaam kwenye mazishi ya kijana aitwaye Jackson mwenye umri wa miaka 28, baada ya dada yake kutaka kumpiga mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Monica, aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wa marehemu akimhusisha na kifo hicho, Ijumaa lina mkasa kamili.
Habari kutoka msibani hapo zilidai kuwa, awali marehemu Jackson alikuwa ni mfanyabiashara wa ng’ombe na kwamba alikutana na Monica (38) mnadani huko Dodoma ambapo walishawishiana na kuanzisha uhusiano wa kimapenzi uliowatoa huko na kuwaleta kuishi pamoja jijini Dar.
>>>Huyu dada anadaiwa alimshawishi kijana huyo waje waishi hapa na jamaa akaja akiwa na fedha za kutosha alizofanyia biashara baada ya kuwa amepewa mtaji na baba yake,
0 comments:
Post a Comment