Aunty Ezekiel alisema, kuna baadhi ya watu wanapenda kumfuatilia mahusiano yake na kudai yeye amemzidi umri dansa huyo kitu ambacho hapendezwi nacho.
Alisema huwa anawashangaa sana baadhi ya watu ambao wanashidwa kufanya mambo yao na kumjadili maisha yake.
“Jamani mimi sipendi maneno ya watu wanaonijadili, nilivyokutana naye kwani hakujua nimemzidi umri? Sipendi kufuatiliwa,” alilalama Aunty. Alisema mambo yake na dansa huyo wawaachie wao wenyewe, kwani wanajua kile wanachofanya.
0 comments:
Post a Comment