Muonekano wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu uko vizuri sana tu sema wanatuharibia wale watu wanaotumia muda huu kutoa kauli chafu zenye kuwakera watu badala ya kutangaza sera muhimu kwa wananchi kwa sababu wao ndiyo waamuzi.
Kampeni za mwaka huu ni tofauti na za miaka iliyopita kwa sababu kuna muamko mkubwa kutoka kwa akina mama na vijana ambao wengi wao wana kiu ya kupata mabadiliko na hata idadi ya wapiga kura nayo inaonekana kuwa kubwa.
0 comments:
Post a Comment