Mwanamuziki kutoka Nigeria,Iyanya.
IEZI kadhaa iliyopita, mfanyabiashara maarufu wa kike nchini Nigeria, Freda Francis, alionekana akiwa katika picha iliyokaa kimahaba na mwimbaji Iyanya pia wa nchini humo, ambapo kulizuka minong’ono kibao kwamba huenda watu hao walikuwa wamezama katika mahaba.
0 comments:
Post a Comment