+10 344 123 64 77

Monday, October 12, 2015

HUYU NDIE MSHIDI WA BSS 2015...BOFYA HAPA KUTAZAMA ZAIDI


Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Kayumba Juma (katika), akiwa ameshikilia fedha zake muda mfupi baada ya kuibuka kidedea kwenye fainali hizo zilizokuwa zikifanyika katika Ukumbi wa King Solomoni uliopo Namanga jijini Dar es Salaa.

0 comments:

Post a Comment