Mwimbaji wa R&B Omarion na girlfriend wake wa siku nyingi Apryl Jones wanatarajia kupata mtoto wa pili hivi karibuni.
Wawili hao ambao ni wazazi wa mtoto mmoja wa kiume aitwaye Megaa Omari Grandberry,ambaye ana mwaka mmoja sasa wanataraji kupata mtoto mwingine wa pili ambaye atakuwa wa jinsia ya kike.
Katika ukurasa wake wa @Instagram mwanamuziki huyo wa R&B aliweka video na kuandika anatarajia kupata mtoto wa pili wa kike ambaye yupo njiani kufuatia ujauzito wa miezi mitano wa mpenzi wake.
0 comments:
Post a Comment