Hitmaker wa ‘My woman, my Evething’ Patoranking amerudi kwenye headlines za burudani baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya >>Pretty Girl<< ya Yung Brown kutoka pande za Nigeria.
Video hiyo imesimamiwa na director Adasa Cookey.
Karibu uitazame hapa mtu wangu…
0 comments:
Post a Comment