+10 344 123 64 77

Monday, November 2, 2015

NI PROGRESS ZA CHEGE kwenye headlines South Africa…


Ni stori kuhusu bongofleva na headlines zake nje ya mipaka ya Tanzania ambapo time hii ni ya Chege akiwa yuko Afrika Kusini katika maandalizi ya video ya single mpya iitwayo Sweety Sweety aliyowashirikisha Runtown na jamaa mmoja toka kundi la Uhuru.
Good news iliyonifikia leo Novemba 2, 2015  ni kwamba Chege Chigunda ana mpango wa kufanya kazi na Mafikizolo wa South Africa ambao ni mastaa wa hit single ya ‘khona’ waliochukua tuzo mbili za MTV 2014.
Akiongea na ripota millardayo.com Julio Batalia ambaye yuko na Chege Chigunda South Africa alisema….’Kuna collabo inakuja kati ya CHEGE na MAFIKIZOLO, tuombeane kheri  ili tufanye kitu kizuri ambacho kitapendeza na kurepresent Tanzania. Tuendelee kupeana support na tufanye mambo makubwa’Julio

0 comments:

Post a Comment