WAKALI wa muziki wa Bongo Fleva wanaounda kundi la Navy Kenzo, Aika na Nahreel wameibuka na wimbo wao mpya unaojulikana kama Kamatia.
Aika na Nahreel wanaounda kundi la Navy Kenzo wakiwa katika pozi.
Wimbo huu audio ameifanya Nahreel katika studio zake za The Industry huku video ikitayarishwa na director aliyeitayarisha pia ngoma yao inayobamba Afrika ya Game anayeitwa Justin Campos.
0 comments:
Post a Comment