+10 344 123 64 77

Sunday, May 10, 2015

Aunty Ezekiel PENDEZA SANA KATIKA SANA NA PEDESHEE JAKI PEMBA KATIKA BABY SHAWER , LAKINI BONGO HAKUNA JIPYA====>> KWA NINI?????

Kijana Jack Pemba amezua kizaazaa uwanja wa ndege Dar. Hii ni baada yakuanza kuvamia meza za watu na kujitangaza kuwa amerudi Dar.

Huku akiongea kwa sauti kubwa hadi bar yote ya Flamingo ikisikia, Jack alitoa lugha za matusi kwa wageni wote walikuwa katika bar hiyo. Jack alijigamba pia kuwa kina Wema na Aunt Ezekiel hawana jipya kwake na ndio amesharudi Dar-es=salaam kusumbua mji.

0 comments:

Post a Comment