Matumizi ya simu za Smartphone yamezidi kuongezeka siku hadi siku na sasa kumekuwepo na urahisishaji wa matumizi hayo baada ya kuonekena kutumika muda wote, kumekuwepo na teknolojia mpya inayosaidia kuchaji simu hizo,.
Kutokana na simu hizo kuwa busy muda wote, kuna kifaa cha powerbank ambacho kinarahisisha matumizi yake kwa kuchaji simu muda wowote na mahali popote.
Kuna Stori imetokea huko Hgana leo ambayo inamuhusu msichana mmoja ambaye amefariki dunia wakati akiichaji powerbank yake.
0 comments:
Post a Comment