+10 344 123 64 77

Wednesday, May 13, 2015

HABARI!!! ANT EZEKIEL!!! MIMI SINA SHIDA NA MTU====>>soma zaidi


Aunt Ezekiel: Sitaki na Sina Tatizo na Mtu
     
    Kutoka Mitandaoni(social network): Staa wa bongo movies, Ant Ezekiel ameamua kuvunya ukimya fufuatia comment mablimbali za mashabiki juu ya kile kinacho daiwa kuwa urafiki wake na staa mwenzake Wema Sepetu umeyumba.
    Madai ya kuyumba kwa  ufafiki baina ya mastaa hao yameibuka kwa kasi baada ya hivi juzi kati kufanyika kwa baby shower ya Aunt na Wema kutokuwepo kwenye pati hiyo, kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa mastaa hao wamekuwa wakihoji ina wezekana vipi Wema kukosa kwenye pati hiyo.
    Kifuatia minong’ono hiyo kuzidi na watu kumshambulia kwa maneno mtandaoni kwa kila nachokiweka kwenye ukurasa wake, hatimaye Aunt ameibuka na kusema wazi kuwa hana na wala hataki tatizo na mtu na kuwa yeye kwasasa ana mambo yake.

    0 comments:

    Post a Comment