Picha nimepiga kutoka maenezo ya Sinza Afrikasana na sehemu za jirani, unaambiwa watu wenye magari madogo wanapata tabu sana time hii ya mvua sababu hakuna miundombinu inayoweza kumudu mvua kama hivi na kuyasafirisha maji, barabara zina mashimo ambayo gari ndogo
angalia zaidi hapa chini jinsi magali madogo yanavyo pata shida
0 comments:
Post a Comment