+10 344 123 64 77

Sunday, May 10, 2015

HABARI!! STAR TIMES YATEMBELEA NA KUTOA MSAADA UHURU MCHANGANYIKO===>>SOMA ZAIDI

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam, Bi. Anna Mshana (kushoto). Kampuni hiyo ilitembelea na kutoa msaada wa vyakula kwa wanafunzi wa shule hiyo ambayo ina kitengo kinachofundisha wanafunzi wenye ulemavu.
Msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta (kulia) akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali Mwalimu Mkuu wa Shule ya…

Msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta (kulia) akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam, Bi. Anna Mshana (kushoto). Kampuni hiyo ilitembelea na kutoa msaada wa vyakula kwa wanafunzi wa shule hiyo ambayo ina kitengo kinachofundisha wanafunzi wenye ulemavu. Pamoja naye kutoka kushoto ni wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Elena Liu na Bw. Richard Yan.
Msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati kampuni hiyo ilipotembelea na kutoa msaada wa vaykula kwa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam wakiwa na Msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta wakati kampuni hiyo ilipotembelea na kutoa msaada wa vaykula.
Msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta (kulia) akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam, Bi. Anna Mshana (kushoto). Kampuni hiyo ilitembelea na kutoa msaada wa vyakula kwa wanafunzi wa shule hiyo ambayo ina kitengo kinachofundisha wanafunzi wenye ulemavu. Pamoja naye kutoka kushoto ni wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Paulina Kaka, Bi. Elena Liu na Bw. Richard Yan na wanafunzi wa shule hiyo.

0 comments:

Post a Comment