Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na pale miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu pia.
Aunt Ezekiel na Wema Sepetu nimarafiki wa karibu sana japokuwa hivi juzi kati kuliripotiwa na vyombo mablimbali vya ukudaku kuwa urafiki wao umeyumba baada ya kusemekana Aunt aliipigia promo show ya Zari All White Party iliyofanyka siku ya mei mosi iliyopita.
Kitendo cha Kajala kuhudhulia kwenye Baby Shower ya Aunt kamezidisha minong’ono ya chini kwa chini kuwa inawezekan ikawa kweli kuwa hausinao ya Aunt na Wema yameyumba kwani Kajala na Wema kwa muda sasa wamekuwa hawapo sawa.
Hongera sana Kajala na Aunty kwa kuonyesha upendo wenu wa dhati.
0 comments:
Post a Comment