+10 344 123 64 77

Tuesday, May 26, 2015

LULU!!! PICHA HIZI ZA LEO ZA LULU INSTAGRAM NDO ZENYE LIKE NYINGI!!!===>>HEBU BOFYA NA WEWE UANGALIE LEO


Picha: Hizi za Lulu Zimependwa Sana Leo Huko INSTA

===>>> NI Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa B0ngo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mpya kwenye ukarara wake huo mpya  unaopatikana kwa anuani ya & elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.
Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha zao kwa juio wake tena mtandandaoni humo kwani wanampenda na kumkubali sana.

0 comments:

Post a Comment