+10 344 123 64 77

Sunday, May 10, 2015

MICHEZO!! JE?? Manchester United itamwachia Di Maria aende PSG kwa mkopo====>>soma zaidi


di
Manchester United imemsajili winga wa  Memphis Depay kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao wa ligi kuu na huenda ikamtema mchezaji wao Angel Di Maria.
Lakini klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imesema ipo tayari kumchukua mchezaji huyo kwa mkopo kama ataruhusiwa na uongozi wa timu yake ili kwenda kuongeza nguvu kwenye kikosi chao.
Mchezaji huyo alisajili kwa pauni milioni 60 akitokea Real Madrid lakini hakuonyesha kiwango kizuri msimu huu na kuwa hatarini kutemwa.

0 comments:

Post a Comment