+10 344 123 64 77

Wednesday, May 13, 2015

ODAMA!!! JAMANI WASICHANA WENZANGU TUJITUME!!!====>>soma zaidi

Imelda Mtema

STAA ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amewataka wazi mastaa wenzake wabongo hii juu ya kujituma kufanya kazi, kwani ndiyo siri pekee ya kuwaepuka wanaume wakware wanaotumia fedha kuwarubuni kirahisi.
Akipiga stori na gazeti letu, Odama alisema wanaume wakware wakiona staa wa kike anapiga mzigo, wanaogopa hata kumsogelea wakijua wazi watashindwa kwani mara nyingi hutumia fedha kuwarubuni, hivy

0 comments:

Post a Comment