Staa mrembo wa Bongo Movies Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ Ameliambia gazeti la Risasi kuwa wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata mara moja,” alisema Aunty Lulu.
0 comments:
Post a Comment