NI Muigizaji na Muongozaji mkongwe wa bongo movies, Jacob Stephen ‘jb, amesema aliamua kumpa uchezajui mkuu wa filamu yake ya CHUNGU CHA TATU staa mremb0 Wema Sepetu kutokana na umahiri wa masanii huyu kwas sababu amemudu sana sehemu za nmapenzi.
Aidha, Jb alisema Wema huwa makini katika uigizaji wa nafasi yake anayopangiwa na pia ni mwepesi wa kukubali kuwekwa katika kila sehemu atakay0ambiwa acheze.
Watu watarajie mambo mazuri kutoka katika filamu ya chungu cha tatu ambayo itakuwa spkoni siku yoyote kuanzi sasa alisema JB.
‘Filamu hiyo nimemchagua wema kuwa muhusika mkuu kwa sababu anajua kuigiza sehemu husika anazopangiwa na hasa katika filamu za mapenzi.
Nipashe
0 comments:
Post a Comment