+10 344 123 64 77

Monday, June 1, 2015

DAH!! WAJAMEN HII NI KWELI KABISA????? MCHUNGAJI AWASAULA WASICHANA ETI KWA AJILI YA UPONYAJI!!!! FUATILIA HAPA

Ghana-News952

NI Mchungaji huyu alifanikiwa kuwashawishi waumini wa kike wa kanisa lake kuvua nguo mbele ya kanisa lote ili awafanyie maombezi kwa kuwakanyaga.
Baadhi ya wanawake hao wameolewa,sasa unajiuliza kwanini walikubali kuvua nguo hadharani namna hiyo. Kwanza hii ni aina gani ya uponyaji/maombezi  JAMANI?!!!

MWENYEWE  KWA WAKATI WAKO Angalia video hapo chini:
Ghana-News953
Ghana-News954
Ghana-News955
Ghana-News956


0 comments:

Post a Comment