+10 344 123 64 77

Wednesday, June 3, 2015

NATANGAZA KUSAMEHE WABAYA WAANGU WOTE....."KAJALA"

Kajala Atangaza Kumsamehe Mbaya Wake
ni Staa wa Bongo Movies, Kajala, ambaye wiki kadhaa zilizopita alishambuliwa na kujeruhiwa usoni kwa chupa na kijana alieyedai kuwa ni pombe zilimtuma vibaya, amesema licha ya shauri hilo kuwepo bado polisi, binafsi amekwishamsamehe kabisa kiroho safi jamaa
Kajala aliyasema hayo kwenye eNewz yaeast africa tv  na pia alitumia nafasi hiyo kukanusha dhahiri kuwa mbaya wake huyo hahusiani kwa namna yoyote na pande mbili za mashabiki wenye mivutano mikubwa ambao ni  TeamWema wanaomsapoti mwanadada Wema Sepetu, dhidi ya Teamkajala ambao wanamsapoti yeye binafsi

0 comments:

Post a Comment