ni yule Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel kwa sasa ni >>mama Cookie<<kupitia ukurasa wake mtandaoni, liweka picha hiyo hapo juu akiwa Moses Iyobo ambaye ni mzazi mwezie na kuwauliza hivi mashabiki zake
“Dady na Mom wa 'Kabinti Spesho'Hebu Nambie unahisi Cookie atakuwa kafanana na Nani???kati ya hawa!”
Akaendelea
====>>>Je Wapenz Eti Mnataman Kabint Spesho kapate Rangi kama ya Nani Mama au Baba?”
Hata humu wapo mashabiki wa Aunt, Tafadhari mpeni majibu…
0 comments:
Post a Comment