+10 344 123 64 77

Sunday, July 19, 2015

SO AMAIZING!!!!! MTV MAMA 2015::: DIAMOND PLATNUMZ MSHINDI WA TUZO YA BEST LIVE ACT DIAMOND ======>>>CLICK TO SEE MORE

NI Diamond Platinumz akifanya yake katika red carpet ya tuzo za MTV.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo ya MTV yaBest Live Act na kuwamwaga wasanii Mi Casa -South Africa, Flavour- Nigeria, Big Nuz -South Africa naToofan- Togo.

0 comments:

Post a Comment