+10 344 123 64 77

Monday, August 31, 2015

KISA MIMBA TU!!!!!! WOLPER ACHARUKA VILIVYO......BOFYA KUJUA KISA ZAIDI


Wolper Acharuka Kisa Mimba
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jacqueline Walper ‘Wolper amecharuka vibaya mara baada ya kuulizwa habari za ujauzito.
Juzikati mwanahabari wetu alipenyezewa ubuyu kuwa mwigizaji huyo haonekani viwanja kwa kuwa ni mjamzito ndipo mwanahabari wetu alipomvutia waya Wolper ambaye alijibu kwa hasira.
“Nani kawaambia nina ujauzito? Hayo mambo jamani siyapendi. Sitaki kuyasikia. Kama nina ujauzito si ningesema? Nifiche ili iweje?” alisema Wolper.
Chanzo:GPL

0 comments:

Post a Comment