Tuzo za MTV Europe Awards 2015 (MTV EMA) haziko mbali sana mtu wangu, tarehe na siku ishapangwa na very soon tuzo hizi zitaruka LIVE kupitia kituo cha MTV Base Chanel 322 na MTV Chanel 130 kwenye DSTV.
Kwenye list ya wale waliochaguliwa kutoka Africa yupo Davido, Yemi Alade, mtu wetuDiamond Platnumz na wengine na wote watakutana jijini Milan Italy siku ya tarehe 25 mwezi October.
Good news mtu wangu, orodha kamili ya MTV EMA 2015 imetoka na kwa mwaka huu msanii anayeongoza kwa nominatons nyingi ni Taylor Swift akiwa na nominations 9,akifutatiwa na Justin Bieber ambaye yupo kwenye nominations 6, One Direction, Nicki Minaj, Ariana Grande, Rihanna, Miley Cyrus wakiwa kwenye nominations 5.
Kwa upande wanaoiwakilisha Africa wapo AKA kutoa South Africa, Davido kutokaNigeria, Diamond Platnumz kutoka Tanzania, DJ Arafat na Yemi Alade kutoka Nigeriapia.
0 comments:
Post a Comment