+10 344 123 64 77

Thursday, September 17, 2015

HIKI NDO KITU kipya kipya toka +254, Stella Mwangi anarudi na hii ‘Chukua Hatua’ kwenye Video kabisa !!


Stella Mwangi ndio jina ambalo linatupa burudani ya kitu kizuri kutoka +254 Kenya kwa siku ya leo, sio mara zote tunahitaji kusikiliza muziki unaohusu mapenzi pekeyake, ziko ngoma kama ‘Mwana‘ ya Ali Kiba, ‘Ojuelegba‘ ya Wizkid na nyingine kibao ambazo zimefanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri lakini hazina ujumbe wa mapenzi !!
Stella-Mwangi-e1412158239450
Kwenye list ya mastaa wa kike wanaofanya muziki Kenya, hata ukitaja watatu ni rahisi sana jina la Stella Mwangi pia kuwepo… anatukaribisha tena tupate hii nyingine yenye ujumbe poa kabisa kutoka kwake, wimbo unaitwa ‘Chukua Hatua‘.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata 

0 comments:

Post a Comment