Ukitaja Tuzo kubwa zinazohusu Muziki wa Tanzania ni Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards… Nigeria nao wanazo za kwao, zinaitwa Headies Awards na good news ni kwamba tayari wakali wanaowania Tuzo hizo wamefahamika.. yani ile list ya Nominees wote niko nayo tayari.
Tumeona kwa KTMA huwa inatoa Tuzo pia kwa baadhi ya wasanii wa nje, mfano kipengele cha ‘Wimbo Bora Afrika Mashariki‘… YES, Nigeria nao wana Category ya AFRICAN ARTISTE ambapo Nominees wa hapo ni wasanii wanaofanya poa kutoka Nchi mbalimbali za Afrika nje ya Nigeria.
Category hiyo kwenye Headies Awards 2015 imewakutanisha wakali kama AKA, Cassper Nyovest, na Uhuru toka South Africa, Sarkodie wa Ghana pamoja na Diamond toka Tanzania.
0 comments:
Post a Comment