+10 344 123 64 77

Thursday, October 1, 2015

hii sasa ni kali!!!... Kim Kadarshian anachukuliaje uamuzi wa Kanye West kugombea Urais? (Video).

Stori za K.West zimekuwa nyingi sana mara baada ya rapper huyo kutangaza kuwa ana mpango wa kugombea Urais kufikia mwaka 2020.. miongoni mwa watu walioshitushwa na habari hiyo ni mke wake Kim Kadarshian!
Akiwa anategemea kujifungua very soon, mke wa rapper Kanye West alipata time ya kwenda kufanya interview na Ellen DeGeneres kwenye kipindi chake cha The Ellen DeGeneres Show siku ya jumatano na kwenye show hiyo staa huyo aliongea vitu vingi kuhusu familia yake, baba yake aliyebadilisha jinsia pamoja na issue ya Kanye Westkugombea urais wa Marekani mwaka 2020.
kimkaa
Kim Kadarshian kwenye Tv Show ya The Ellen DeGeneres Show.
Akiwa anahojiwa Kim Kadarshian alisema kuwa alishangazwa sana na kile alichokifanya mume wake kwenye usiku wa tuzo za MTV VMAs na kumbe Kanye hakuwahi kumwambiaKim kuwa ana ndoto za kugombea Urais na wala hakumshirikisha kwenye hiyo mipango!
kimkaa

0 comments:

Post a Comment