Mtani na mchekeshaji Baba Levo kama kawaida yake amekuwa akitupatia fix kuhusiana na maisha ya mastaa wa Bongo, sasa leo kaja na hii ya kuzungumzia magari ya mastaa kamaRich Mavoko, Joh Makini, Linah na wengine namna yalivyo na matatizo ambayo mashabiki wao wengi hawayajui.
Cheka naye kwa kubonyeza Play hapa chini
Baba Levo akiongelea nyumba ya Diamond Platnumz
Utani wa Baba Levo akienda guest house na Mwanamke mwizi
Utani wa Baba Levo kuhusu watu wa Kigoma na huduma za ndege
Baba Levo na ushamba wa wasanii kupanda ndege
Baba Levo alipokwenda kwa Mganga kisa show za Marekani
Utani wa Baba Levo kuhusu Manesi wanaotoa siri za wagonjwa
Baba Levo siku alipopanda Fuso na Roma Mkatoliki
SOURCE: Millard Ayo
0 comments:
Post a Comment