Wachezaji soka wa Ulaya ni watu ambao wasiri sana katika maisha yao, kutokana na umaarufu wao mara nyingi wamekuwa wakifuatiliwa kwa kila kitu wanachokifanya, Cristiano Ronaldo staa wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania, December 22 kuekea sikuku ya Chrismass ameonesha mjengo wake kuanzia nje hadi ndani.
Kama ulikuwa hujui Ronaldo sehemu muhimu katika nyumba yake ni mahali anapolala kwani ndio anaamini kama mchezaji ili ufanye vizuri ni lazima upate mahali pazuri pakupumzika. Najua umezoea kuona pichaz za mijengo ya mastaa wa soka, ila December 22 Ronaldo katuonesha mjengo wake na kutoa maelezo hadi chumbani anapolala.
0 comments:
Post a Comment