Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta bado yupo kwenye headlines January 11,Samatta January 11 alikutana na Rais mstaafu wa wa awamu ya nne Dk Jakaya Kikwetena kupewa pongezi baada ya ushindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wa ndani.
Samatta January 11 pia aliitwa ubalozi wa Ubelgiji kwa ajili ya visa. Mbwana Samatta kwa sasa anatajwa kuwa katika mipango ya mwisho ya kujiunga na klabu ya KRC Genk yaUbelgiji, hivyo kwenda kwake ubalozini hapo ni kuashiria kuanza maandalizi ya safari kwa ajili ya kwenda Ubelgiji kuanza maisha mapya ya soka.
0 comments:
Post a Comment