Diamond Platnumz ni jina la staa wa Kitanzania anayefanya poa kulibeba jina la Tanzania kwenye vichwa vya habari vya kimataifa kupitia kazi ya muziki mzuri anaoufanya.
Kapata nafasi kuweka fleva ya sauti yake na mistari kwenye ngoma ya mrembo Akothee kutoka Kenya… mzigo wenyewe hauko mbali kuachiwa na hapa nina kionjo cha ‘Sweet Love’ yao kwenye sekunde 21 mtu wangu !!
0 comments:
Post a Comment