+10 344 123 64 77

Sunday, January 10, 2016

MICHEZOni... Maamuzi mapya ya Kocha wa Taifa Stars dhidi ya Mbwana Samatta siku mbili baada ya ushindi wa tuzo


Siku mbili baada ya mshambuliaji kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta atangazwe na shirikisho la soka barani Afrika CAF kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika wa mwaka 2015 kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani ya Afrika.
mkwasaa
Charles Boniface Mkwasa
January 10 uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametangaza kumteua Mbwana Samatta kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars. Uamuzi huo wa Mkwasa umekuja siku mbili baada ya Samatta kutwaa tuzo. Kwa sasa Nadir Haroub atakuwa nahodha wa timu yaCHAN na John Bocco atakuwa nahodha msaidizi wa Samatta.
501184166-2

0 comments:

Post a Comment