Weekend ya January 10 inakwenda kukamilika mtu wangu, lakini kabla hatujaikamilisha acha ni kusogezee hii ya Waziri wa Magufuli ambae kwenye hii kasi ya Hapa Kazi tu, hataki utani kazini…ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wiki hii aliamua kwenda mguu kwa mguu kwenye Hospitali Teule ya Mkoa waGeita kuwaona wagonjwa na kuongea nao kila mmoja aseme tatizo alilokutana nalo kwenye kupatiwa huduma; – Ummy Mwalimu Waziri wa Afya
Kumsikiliza Waziri wa Afya alivyopita kwa kila mgonjwa, bonyeza play hapa
0 comments:
Post a Comment