Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael’Lulu’ amemwagiwa sifa mtandao kuwa ni moja ya mastaa wanao penda mitindo ‘Fashion’ kitu ambacho kinamfanya kuonekana mrembo zaidi kile leo.
Tofauti na mastaa wengi wakike wa hapa bongo Lulu kupitia ukurasa wake wa Instagram amekuwa akitupia picha akiwa amevalia mitindo mbalimbali ya mavazi na nywele.
Lulu amekuwa akipokea maelfu ya LIKES na COMMENTS za kusifiwa kutoka kwa mashabiki wake na wapenzi wa mitindo.
Hizi ni baadhi ya picha zake za hivi karibuni akiwa na ‘Short Hair’.
0 comments:
Post a Comment