+10 344 123 64 77

Thursday, February 18, 2016

Video niliyoinasa wakati matokeo ya Form IV 2015 yakitangazwa leo

February 18 2016 Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2015, jambo lingine kubwa lililopewa nafasi ni hili la viwango vya ufaulu vilivyotangazwa kuanza tena kutumika, hapa chini kwenye hii video nakusogeza karibu na yote aliyoyasema katibu mtendaji wa baraza la mitihani Tanzania NECTA Dk. Charles Msonde.

0 comments:

Post a Comment