+10 344 123 64 77

Sunday, May 29, 2016

PICHA 8: Miss Arusha 2016 alivyopatikana na burudani kutoka kwa Navy Kenzo

Usiku wa May 28 2016 ilikuwa ni siku ya kumtafuta Miss Arusha 2016 ambaye amerithi Taji lililokuwa likishikiliwa na Miss Arusha 2014 Lilian Kamanzima ambaye pia ndiye Miss Tanzania kwa sasa, mchuacho ulianza kwa washiriki 17 hatimaye washiriki wakabaki watano ambapo Maurine Ayubu amenyakua taji hilo la Miss Arusha 2016/2017, Usiku huo burudani ya nguvu ilidondoshwa na wakali kutoka kundi la Navy Kenzo.
.
Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima
.
Navy Kenzo Back Stage
.
.
.
Navy Kenzo
.
Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima
.
Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima
.
.
.
Mshindi wa taji la Miss Arusha 2016, Murine Ayubu

0 comments:

Post a Comment