+10 344 123 64 77

Saturday, October 1, 2016

VIDEO: Kama Diamond Platnumz atauza account yake Instagram, hii ndio pesa atakayouzia...

Katika list ya mastaa wakubwa kutoka bongoflevani wenye mafanikio makubwa kwa sasa hivi huwezi kuacha kumtaja Diamond Platnumz na pia ni mmoja kati ya mastaa wenyefollowers wengi kwenye mitandao ya kijamii haswa mtandao wa Instagram ambapo staa huyu anafollowers Mil.2.8 sasa hivi.

0 comments:

Post a Comment