NI Staa mkongwe wa Bongo movies, Ummy Wenceslaus >>Dokii<< amesema kuwa wanaosema hana jipya kwenye Tania ya filamu wasubiri akusanye fedha kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madaiwani unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu kasha watajua kama amekwiusha au la.
>>>>Watu wengi wanasema uwezo wangu wa kuigiza umeisha ndiyo maana sionekani kwenye filamu nyingi wanashindwa kutambua kwamba mimi ni mtafutaji pesa na ssa na subiri kipindi cha kampeni za makada wa CCM zianze ili nianzekupata pesa kinsha ndipo nianze kazi hii ya kuigiza alisema msanii huyo.
0 comments:
Post a Comment