+10 344 123 64 77

Thursday, May 21, 2015

DUUUUUU!!! KWELI HII SASA NI ZAMU YA MTAA KWA MTAA===>> vunja mbavu

Sasa ni  Zamu ya  Mtaa Kwa Mtaa

     sasa ni Staa wa Bongo Movies, SALMA Jabu ‘Nisha Bebe’ ndio nyota ya mchezo katika game kwa sasa, anapoachia movie ni simulizi kote ukitaka kujua ubaya wa steringi huyo kutana na movie zake sasa anasema MTAA KWA MTAA ndio habari ya mujini kila kona ni mtaa kwa Mtaa si mchezo.
Kama Betina , nikatisa na sasa ni Mtaa kwa Mtaa kila kona hiyo ndio Habari ya Mujini, Chezea Nisha wee! Ni bonge la Kolabo ya kufa mtu mimi na Asha kule ni Tausi Ipsam, komediani kibao wanawakilisha ni sinema ya kipekee usiikose,”ananyetisha Nisha.
Filamu ya MTAA KWA MTAA inatoka tarehe 28 May. 2015 na kusambazwa nchi nzima itakuwa kuwa kila kona ukishuhudia Star wako Nisha na wengine wakikimbiza mwanzo mwisho inakuburudisha ukicheka na kuvunja mbavu zako. ni shiidah!!!

0 comments:

Post a Comment