Ni rahisi sana kumpata mwanamke mzuri,mwenye shape unayoitaka,mwenye sura nzuri ,sauti nzuri,nk..But ni vigumu kumpata mwanamke ambaye ameanza moja na ww kuanzia huna kitu mpaka unacho.ni vigumu kumpata mwanamke ambaye uwe nacho usiwe nacho yupo na ww.Ni vigumu kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati..ila leo hii wanaume wengi wamekuwa wakiwathamini sana wanawake wale ambao wanawaita warembo na kuwasahau hawa ambao wameanza nao moja...inauma sana coz nimeona mifano..............WANAUME MPO?!
Shamsa
0 comments:
Post a Comment