+10 344 123 64 77

Monday, May 11, 2015

IN NEWS!! !MAYWEATHER AFANYA MAKUBWA KWENYE ‘BETHDAY’ YA STAR CHRIS BROWN===>>SOMA ZAIDI

Floyd Mayweather akiwa kwenye bATHDAY ya Chris Brown.

Chris Brown AKIFUNGUA KWA MBWEMBWE 'shampeni'.
NEW YORK==>>MAREKANI

NI jeuri ya mkwanja! Ndivyo bondia Floyd Mayweather alivyoanza makeke ya kutumia mkwanja wake baada ya hivi karibuni kufanya balaa la maana kwenye siku ya kuzaliwa ya mwimbaji, Chris Brown.

0 comments:

Post a Comment