+10 344 123 64 77

Sunday, May 31, 2015

JB!!! AMPONGEZA AMPONGEZA SANA NISHA>>>> HILI SASA NI FUNZO KWA MASTAA WENGINE... HEBU ANGALIA HAPA

JB Ampongeza Nisha kwa Jambo Hili, Nifunzo kwa Mastaa Wengine

NI Kutoka Mtandaoni: Staa mk0ngwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amempongeza staa mwenzake Salma Jabu ‘Nisha’ kwa jitihada zake za kuzitangaza kazi zake zaidi kupitia ukursa wake kwenye mtandao picha wa Instagram ambapo hadi leo anawatu zaidi ya laki moja na nusu wanao mfuatilia.
Napenda kuongea kutokana moyoni kwamba navutiwa na jinsi dada huyu anavyo jitahidi.hongera.kila nikipitia acc yako mara nyingi unaongelea juu ya kazi zako.hongera. endelea kupambana>>JB aliandika hayo mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Nisha<<<.
Hakika Nisha anastahili pongezi kwa matumizi hayo mazuri ya mtandao picha wa Instagram, mastaa wengine wajifunze kutoka kwake.

0 comments:

Post a Comment