+10 344 123 64 77

Sunday, May 31, 2015

KAJALA!!! SITAKI MWANANGU AWE NA SIMU====>>ENDELEA

Kajala: Simruhusu Mwanangu Paula Awe na Simu
NI Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja  amesema hawezi kumruhusu binti yake  Paula kumiliki simu ya mkoni kwasasa.
Akiongea kwenye kipindi cha The Sp0rah Sh0w hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.
Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye mtandao picha wa Instagram.
“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.

>>>Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani nitakayomnunulia mimi<<<<Kajala alisisistiza.
Hongera sana Kajala kwa msimamo wako,simu ni chanzo cha maovu mengi kwa mabinti wa shule.

0 comments:

Post a Comment