+10 344 123 64 77

Sunday, May 31, 2015

KWENYE MICHEZO SASA!!!!!! NI KAULI YA Rio Ferdinand NA HATIMA YAKE YA SOKA............FUATILIA HAPA

yeye
daaaah!!!! Akiwa bado kwenye majonzi makubwa ya mkewe aliyefariki duniani mwanzoni mwa mwezi huu, beki wa zamani wa Manchester United  na timu ya Taifa ya England Rio Ferd ameweka wazi mikakati yake mipya katika mahojiano aliyoyafanya.
Mchezaji huyo ambaye kwa sasa ana miaka thelathini na sita  ametangaza nia ya kustaafu soka baada ya klabu ya Queens Park Rangers kutangaza kumtema kwenye kikosi chake.
na mkewe
Rio Ferdinand akiwa na marehemu mkewe mpendwa  Rebecca
Alitangaza uamuzi wake katika mahojiano ya moja kwa moja na bt Sport, na aliandika kwenye akaunti yake ya Twitter kuwashukuru waliomtakia kila la heri baada ya kifo cha mkewe, Rebeca aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani, ambaye wamezaa naye watoto watatu.
Ferdinand hakuacha kumsifia kocha wa zamani wa Manchester United, Sir  Ferguson kwamba ni mfano wa kuigwa kutokana na ujuzi wake.

0 comments:

Post a Comment